Shirika la Umoja Wa mataifa la kuhudumia wahamiaji (UNHCR)
lafahamisha kuwa wahamiaji wapatao 26,000 wenye asili ya kisomali
wamethibitisha nia yao ya hiari ya kurudi nchini Somalia .Aidha
UNHCR pia ilitoa ripoti ya kila mwezi iliyoonyesha kuwa wakimbizi 2,525
waliojitolea kurudi makwao nchini Somalia walisafirishwa kwa makundi
kati ya tarehe 16 hadi 30 mwezi Septemba .
Kenya ikishirikiana na
UNHCR wanahakikisha kuwa mchakato wa kuwarudisha wakimbizi 300,000 wa
kisomali wanaoishi katika kambi ya Dadaab unaendelea kiulaini bila ya
kuwalazimisha wahamiaji hao kurudi Somalia bila hiari yao .
Home
Kimataifa
Takriban wakimbizi 26,000 wenye asili ya kisomali nchini Kenya wathibitisha kurudi Somalia
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment