Image
Image

Uamuzi wa kudhibiti viwango vya uzalishaji wa mafuta vyasababisha bei kupanda.

Bei za mafuta kote ulimwenguni zimebainishwa kuongezeka kwa kiwango cha juu zaidi mwaka 2016 baada ya OPEC kutangaza kanuni ya kudhibiti viwango vya uzalishaji.Baada ya rais wa Urusi Vladimir Putin kuunga mkono uamuzi wa OPEC wa kudhibiti viwango vya uzalishaji kwenye kongamano la nishati la Istanbul, bei za mafuta zimetangazwa kupanda kwa kiwango cha juu zaidi.
Bei za mafuta ghafi aina ya Brent zimeweza kupanda kwa asilimia 1.5 na kuweza kuuzwa dola 51 na senti 48.
Ongezeko la bei hizo limeweza kunufaisha zaidi mataifa ya OPEC yanayohusika na uzalishaji na uuzaji wa mafuta.
Hasa katika nchi ya Saudi Arabia ambayo iliwahi kuathirika kiuchumi kutokana na kushuka kwa bei za mafuta, hali hiyo imeweza kurudi kawaida.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment