Image
Image

Ufaransa na Ureno kupiga hatua kwenye mechi za makundi ya kufuzu kombe la dunia la FIFA 2018

Baadhi ya makundi yalikamilisha mzunguko wa 3 wa mechi za makundi ya kuwania nafasi ya kushiriki mashindano ya kombe la dunia la FIFA 2018.Haya ndiyo matokeo ya mechi zote zilizochezwa hapo jana: 
Kundi A:
Uholanzi - Ufaransa: 0-1
Uswidi - Bulgaria: 3-0
Belarus - Luxemburg: 1-1
Kundi B:
Faroe Island - Ureno: 0-6
Letonia - Hungary: 0-2
Andorra -Uswisi: 1-2
Kundi H:
Bosnia - Cyprus: 2-0
Estonia - Ugiriki: 0-2
Gibraltar - Ubelgiji: 0-6
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment