Wanajeshi 2 wa Misri wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia mapigano yaliyozuka kati ya jeshi na makundi ya silaha.Mapigano hayoyakizuka wakati jeshi la Misri lilikuwa likiendesha operesheni kwenye eneo la Sinai Peninsula nchini humo.
Msemaji wa jeshi la Misri Muhammed Samir ametoa maelezo na kuarifu kwamba baadhi ya kambi za kijeshi zilizoko kaskazini mwa Sinai zilikuwa zimevamiwa na makundi ya silaha.
Maelezo zaidi yamearifu kufariki kwa wanajeshi 2 wa Misri kwa upande mmoja, na kuangamizwa kwa wapiganaji 6 wa makundi ya silaha.
Wanajeshi pia walifanikiwa kuharibu ngome 6,vilipuzi 11, mahari 2 na pikipiki 10 za wapiganaji.
Tangu mwezi Septemba mwaka 2013, jeshi la Misri limekuwa likiendesha operesheni dhidi ya makundi ya wapiganaji wanaodaiwa kuhusika na harakati za kigaidi katika maeneo mengi ya Sinai.

0 comments:
Post a Comment