Image
Image

Mbinu mpya ya kugundua saratani, iko hapa.

Mhadhiri wa kitivo cha Fizikia kutoka idara ya sayansi ya chuo kikuu cha Boğaziçi Dr. Burçin Ünlü pamoja na watafiti wenzake wameunda darubini maalum utafiti.
Darubini hiyo inayofanya kazi kwa mfumo wa Photo-Acoustic unaojumuisha mwanga na sauti, inaweza kutumika kwa ajili ya kugundua saratani, maradhi ya sukari na maumivu ya misuli.
Utafiti utaweza kufanyika kwa kutumia daubini hiyo iliyoungwa na mwanga wa miale ya leza na mawimbi ya sauti.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment