Image
Image

Operesheni dhidi ya Boko Haram yaendeshwa nchini Nigeria.

Wanamgambo 37 wa Boko Haram wameripotiwa kuangamizwa na wanajeshi wa Nigeria kwenye operesheni ya Karya Gwuiwa iliyoendeshwa maeneo ya kaskazini mwa nchi.Katika operesheni dhidi ya Boko Haram, mwanajeshi mmoja wa Nigeria pia alipoteza maisha na wengine 5 wakajeruhiwa.
Majeruhi hao wamefikishwa hospitalini kwa ajili ya matibabu.
Tangu mwaka 2000 baada ya kifo cha kiongozi Muhammed Yusuf kutokea alipokuwa chini ya ulinzi, kundi la Boko Haram lilianzisha mashambulizi dhidi ya vikosi vya usalama na kuua watu wapatao elfu 17 kuanzia mwaka 2009.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment