Baraza la Taifa la elimu ya ufundi nchini Tanzania (NACTE) imevifutia usajili vyuo 26 kwa kushindwa kufuata taratibu za usajili.
Takribani
vyuo 20 vimeelezwa kuendesha kozi mbalimbali bila kupata kibali cha
baraza hilo ambapo sasa wanafunzi katika vyuo hivyo hawatatambulika.
Taarifa kamili baadae.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment