DIWANI ATHUMAN - Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera.
Rais Dakta JOHN POMBE MAGUFULI leo
amemteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Up elelezi wa Makosa ya Jinai - DCI-
. DIWANI ATHUMAN kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera.
Uteuzi huo wa DIWANI ATHUMAN unaanza mara moja.
Rais
MAGUFULI pia amemteua Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania , Jaji JOSEPH SINDE WARIOBA kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Sokoine cha Kilimo -SUA, uteuzi huo umeanza juzi.
Wakati huo huo, Rais MAGUFULI
amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi katika taasisi tano za Serikali
ambapo Dakta JONES KILIMBE kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlak a ya
Mawasiliano Tanzania -TCRA- na amemteua SYLVESTER MABUMBA kuwa Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlak a ya Mawasiliano Tanzania, uteuzi ulioanza
jana .
Rais MAGUFULI pia amemteua Prof esa PATRICK MAKUNGU kuwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Uhandisi na Usanifu
Mitambo ambao umeanza jana.
Uteuzi mwingine ni wa MARTIN MADEKWE kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Fidia ya Ardhi ulioanza jana na Rais MAGUFULI pia amemteua Prof esa RAPHAEL TIHELWA CHIBUNDA
kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wakurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Viu
atilifu vya Kitropiki Tanzania -TPRI- Uteuzi ulioanza hapo jana.
Home
News
Slider
Rais Magufuli amteua Diwani Athuman kuwa RAS Kagera na Jaji Warioba awa mkuu wa chuo SUA.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment