Image
Image

Ligi ya UEFA, Timu zitakazokutana na timu za Uturuki, ZIKO HAPA

Timu ya  Beşiktaş itachuana na timu ya Israel ya  Hapoel Beer-Shvea.

Osmanlispor itachuana na timu ya Ugiriki ya.

Michuano hiyo itaanza ifikapo Februari 16 na 23 mwaka 2017.

Athletic Bilbao (Uhispania) - APOEL (Cyprus)

Legia Varşova (Poland) - Ajax Amsterdam (Uholanzi)

Anderlecht (Ubelgiji) - Zenit St-Petersbourg (Urusi)

Astra (Rumania) - Genk (Ubelgiji)

Manchester United (Uingereza) - Saint Etienne (Ufaransa)

Villarreal (Uhispania) - AS Rome (Italia)

Ludogorets (Bulgaria) - Kopenhag (Danemark)

Celta Vigo (Uhispania) - Shakhtar Donetsk (Ukraina)

Olympiakos (Ugiriki) - Osmanlispor (Uturuki)

Gent (Ubelgiji) - Tottenham (Uingereza)

Rostov (Urusi) - Sparta Prague (Tchek)

Krasnodar (Urusi) - Fenerbahce (Uturuki)

Borussia Mönchengladbach (Ujerumani) - Fiorentina (Italia)

AZ Alkmaar (Uholanzi) - Olympique Lyon (Ufaransa)

Hapoel Beer-Sheva (Israel) - Besiktas (Uturuki)

PAOK (Ugiriki) - Schalke 04 (Ujerumani)
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment