Rais John Magufuli amemteua Ngusa Samike kuwa Mnikulu Ofisi ya Rais, Ikulu.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa Samike umeanza leo.
Kabla ya Uteuzi huo Samike alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment