Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewaita mameya wake wa mkoa wa
Dar es Salaam kufuatia sakata la kupandisha tozo la kupaki magari jijini
dar.
Uongozi wa juu wa chama hiko umeagiza mameya wake kufika makao makuu ya chama hicho kwa majadiliano.
Chanzo
cha habari hii kinadai kuwa mameya hao hawakutoa taarifa ya jambo hili
zito na nyeti kwenye chama chao na inaelezwa pia kuna uwepo wa kuliamua
jambo hilo kwa makusudi bila kupima athari yake kisiasa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment