Hali ya kushangaza imeibuka miongoni mwa wakazi wa mkoa Mbeya baada ya mtoto aliyefariki dunia kuzikwa kisha mwili wake kukutwa tena nyumbani, hali iliyosababisha Jeshi la Polisi kulazimika kufukua kaburi na kukuta jeneza tupu kaburini.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment