Katika uchaguzi uliofanyika nchini Uholanzi chama cha NMark Rutte kimepata kura chache ikilinganşishwa na uchaguzi uliofanyika mwaka 2012 nchini Uholanzi.
Chama cha DENK, chama cha waturuki ambacho kuliundwa nchini Uholanzi kimefaulu kupata viti vitatu katika uchaguzi.
Katika uchaguzi uliofanyika hapo jana nchini Uholanzi, chama kinachoongozwa na waziri mkuu Mark Rutte kimejipatia nafasi ya kwanza licha yakupata kura chache ikilinganishwa na uchagzui ulioafanyika mwaka 2012.
Chama hicho cha waziri mkuu kimepata viti 33 kwa viti 150 bungeni.
Waziri mkuu wa Uholanzi alisema kuwa muda wa kampeni umekwiisha piata na kusema kuwa muda wa ushirikiano na kujenga taifa umewadia.
Chama kinachoongozwa na Geert Wilders kimejipatia viti 18, kiongozi wa chama hicho anafahamika kwa misimamo yake ambayo imatambulika kuwa yenye chuki dhidi ya Uislamu na wageni nchini Uholanzi.
DENK ni chama cha kwanza kuundwa na wageni Ulaya na kushiriki katika uchaguzi.
0 comments:
Post a Comment