Image
Image

Azam kufanya mazozi mepesi kuikabili wanangoma Songea.


Baada ya kutoa sare na timu ya Simba timu ya soka ya Azam kesho itaanza mazoezi mepesi kabla ya siku ya ijumaa kuelekea Songea kupambana na majimaji.

 ni Azam ndiyo waliyoponea katika tundu la sindano kwakuwa mnyama simba alikuwa katika ubora wake na alistahili kuondoka na ushindi lakini Azam wenyeji wa mitaa isiokuwa na murdali chamazi awali walikuwa wakiomba kafu isiungane na nuni waliombalo liwe na bahati wakatoka sare ya mabao mawili kwa mawili,sasa Azam itaondoka siku ya ijumaa kuelekea Songea kuvaana na wanangoma ya lizombe majimaji siku ya jumapili.

Azam wanakwenda kuvaana na wanalizombe wakiwa wamejeruhiwa na Barobaro wa mwanza toto kwa mabao matano kwa sufuru,huku Azam wenyewe wakiponyoka mdomoni mwa mnyana asokuwa na pupa awindapo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment