Image
Image

WANAFUNZI CHUO KIKUU WAKIRI KUTO JIAMINI NA KUPATASHIDA KWENYE LUGHA YA KIINGEREZA

Na. Peter shadrack, Dar es Salaam.

Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Taasisi mbalimbali za elimu ya juu, wamekiri kuwa kutojiamini pamoja na matumizi ya lugha ya kiingereza kumekuwa kukichangia kwa kiasi kikubwa wengi wao kushindwa kuhimili ushindani kwenye soko la ajira, pindi fursa zinapojitokeza.

Wanafunzi hao wametoa kauli hiyo wakati wakizungumza na vyombo vya habari, kwenye tamasha la makampuni mbalimbali ya kibiashara na huduma zaidi ya 20 yalipokutana na wanafunzi hao kwa ajili ya kuwajengea uwezo chini ya Mpango ulioandaliwa na Taasisi ya kuendeleza Masuala ya Uongozi kwa Vijana AIESEC.
.Frank  Mushi - Rais wa AIESEC
 Rais wa Taasisi hiyo Frank Mushi na Mkurugenzi wa Masoko wa Taasisi hiyo Elvis Kashaija amesema kutojiamini na matumizi ya lugha ya Kiingereza ni changamoto kwa wahitimu wa Tanzania wakati wa usaili zinapojitkeza fursa za ajira, hivyo wanaamini matamasha ya ina hiyo yatakuwa na mchango wa kuwajengea uwezo tangu wakiwa vyuoni.

Wanafunzi wa Vyuo Mbali mbali wakisikiliza




Nao baadhi ya wanafunzi walioshiriki tamasha hilo wanaeleza changamoto hizo na juhudi wanazoona zinafaa kutiliwa mkazo tangu mwanafunzi akiwa chuoni akijiandaa kuingia kwenye soko la ajira, ambapo Mwakilishi wa Vodacom Tanzania moja ya Makampuni yaliyodhamini tamasha hilo akizungumzia nafasi ya ajira kwenye makampuni.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment