Image
Image

BUNGENI LEO.


MH. SAMUEL SITTA - WAZIRI WA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI, AKIONEKANA KASHIKA KITABU BAADA YA KUWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA BAJETI YA WIZARA HIYO KWA MAKA 2013/2014 MJINI DODOMA.
WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, MH. MATHIAS CHIKAWE, KUSHOTO MBUNGE WA SENGEREMA MH WILLIAM NGELEJA NA MBUNGE WA PERAMIHO MH. JENISTER MHAGAMA WAKIWA WAPO PAMOJA KWA TABASAM WAKITOKA NDANI YA UKUMBI WA BUNGENI DODOMA.




 

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment