Image
Image

RAISI JAKAYA KIKWETE AKUTANA MNA KUZUNGUMZA NA ASKOFU MKUU WA CANTERBUY MJINI DODOMA JANA.


Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Portal Welby  baada ya kufanya naye  mazungumzo katika ukumbi wa St.Gaspar mjini Dodoma jana, Askofu huyo alishiriki katika ibada ya kutawazwa kwa askofu mkuu mpya wa Kanisa la Anglikana nchini Tanzania Dkt.Jacob Erasto Chimeledya.



Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment