Image
Image

TIMU YA TAIFA YA GOFU YAKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA NA WAZIRI MUKANGARA.

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangala akimkabidhi nahodha wa timu ya Gofu Bi. Madina Iddi Bendera ya Tanzania kabla ya kuanza safari yakwenda nchini Zambia kwaajili ya mashindano ya Gofu yatakayofanyika kuanzia tarehe 1 – 6 June mwaka huu. 
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangala akizungumza na Wanamichezo wa Gofu kutoka Chama cha Gofu cha Wanawake Tanzania (hawapo pichani) jana jijini Dar es Salaam.
Wachezaji wa mchezo wa Gofu wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa Bendera ya Taifa ya Tanzania (haipo pichani) na waziri wa Michezo kuiwakilisha Tanzania nchini Zambia.



Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment