Image
Image

KAMA ULIKUWA HUJUI SASA NI WAKATI WAKO WAKUWEZA KUWAFAHAMU WATANZANIA WALIOKO NCHINI MAREKANI WALIO ANZISHA CHUO CHA UUGUZI, PAMOJA NA KUSIKIA MAHOJIANO YAO WALIO KUWA WAKIFANYIWA HUKO NCHINI MAREKANI.

Hawa ndio watanzania wanao miliki chuo cha uuguzi Marekani.




Haya ni moja ya mahojiano baina ya Jamii Production na waTanzania wanaomiliki Chuo cha Uuguzi cha Kansas Ndg Michael Katunzi na Ndg Robert Otto.



Katika mahojiano hayo, wanaeleza mambo mbalimbali ikiwemo walivyopata wazo la kuanzisha chuo hiki, walivyoanzisha na walipo hivi sasa, changamoto gani  walizokumbana nazo kuanzia kuanzisha chuo hicho  mpaka kilipo sasa, mafanikio yao na ya chuo chao pamoja na mipango yao juu ya chuo hicho kilichopo  katika nafasi za juu miongoni mwa vyuo vya uuguzi jimboni humo.
Bofya Hapa usikie hayo mahojiano kwa undani zaidi.



HIZI ZA CHINI NI BAADHI YA PICHA MBALI MBALI KATIKA CHUO HICHO
Hawa ni wanafunzi wa Kansas College of Nursing
Hawa ni wanafunzi wa Kansas College of Nursing Wakiwa wanafurahi.
Wanafunzi wa Chuo cha uuguzi cha  Kansas College of Nursing kilichopo nchini Marekani wakiwa Darasani.
Wanafunzi wa Chuo cha uuguzi cha  Kansas College of Nursing kilichopo nchini Marekani wakiwa  kwenye pozi kwaajili ya kupiga picha ya pamoja.




Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment