Image
Image

MAADHIMISHO YA MASHUJAA YAONYESHA MSISIMKO MOROGORO.

 Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera akitemka katika gari wakati akiwasiri katika viwanja vya mzunguko wa Posta kwa sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya mashujaa iliyoadhimishwa kimkoa mkoani Morogoro.


 
 Kikosi cha jeshi la Polisi wakati wa gwalide la kuwakumbuka mashujaa.
Hawa ni askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa katika gwaride muda mfupi kabla ya kuelekea mnara wa posta ambako sherehe za kuwakumbuka mashujaa ilifanyika kimkoa.
Mmoja wa askari  wa jeshi la Magereza akionyesha ukakamavu wakati wa gwalide hilo.

SORCE: MWENDAPOLE NA UPOLE WAKE .BLOGSPOT.COM


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment