Image
Image

MAHAKAMA YA MBEA YAMHUKUMU KWENDA JELA MIAKA 30 MKAZI WA ISANGA BAADA YA KUMTIA HATIANI KWA KOSA LA KUMLAWITI NA KUMZALISHA MWANAE WA KUMZAA.

Mtuhumiwa wa ubakaji akijifunika sipigwe picha baada ya hukumu.


Yusufu Amani (39) aliyembaka mwanaye wa kumzaa kisha kumzalisha baada ya kutengana na mkewe Afungwa miaka 30.
Kulia ni mtoto aliyebakwa na baba yake kisha kuzalishwa akiwa na mtoto wake wakitoka mahakamani kulia ni mama mzazi wa binti aliyebakwa.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment