Image
Image

MUSEVENI ATEMBELEA ENEO LILILOKUMBWA NA MAAFA MWISHONI MWA WIKI.


Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametembelea eneo lililokumbwa na maafa mwishoni mwa wiki, kufuatia moto mkubwa uliowaka katika magari yenye matanki ya mafuta ambapo  idadi ya watu waliopoteza maisha imefikia 35.

Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo, Rosemary Namayanja amesema miili kumi na saba imepatikana eneo la tukio, miili mingine imeshindwa kutambulika kufuatia kuharibika vibaya, hatua iliyolazimu kuzoa  mavumbi yaliyosalia.

Ajali hiyo ilitokea eneo la Namungoona, Kaskazini mwa Uganda baada ya gari moja aina ya Noah kugongana na gari kubwa iliyokuwa imebeba mafuta ya Petrol.

  
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment