
ROONEY KUSAFIRI MPAKA LONDON KUJUMUIKA KWENYE KLAB YA GOLF


Mshambuliaji wa
Manchester United Wayne Rooney amesafiri mpaka London na kujumuika kwenye klabu
ya kucheza mchezo wa golf ya Queenwood iliyopo Surrey,ikiwa ni karibu kabisa na
ulipo uwanja wa mazoezi wa Cobham ambako Chelsea
wanafanya mazoezi na kuibua stori nyingine ya kwamba anasogea karibu na sehemu
anayotaka kwenda kucheza.
0 comments:
Post a Comment