Image
Image

BREAKING NEWS, WATU 4 WANAOSADIKIWA KUWA MAJAMBAZI AKIWEMO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI M,SIMBAZI.



Breaking news.

Watu wanne wanaosadikiwa kuwa ni Majambazi miongoni mwao akiwa askari wa jeshi la polisi aleyefahamika kwa jina la Mohamed Muhina wanashikiliwa na jeshi la Polisi msimbazi baada ya kufanya uhalifu katika eneo la ilala karibu na clab ya wazee jijini dar es Salaam na kufanikiwa kuiba dola za kimarekani elifu 20 ambazo ni zaidi ya milioni  20 za kitanzania.

Tutaendelea kuwafahamisha kadri taarifa tutakavyo zikusanya.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment