Image
Image

CHEKA KUWEKA HISTORIA DHIDI YA PHILI LEO DIAMOND JUBILEE

Fransic Cheka na Phil Williams wa Marekani, wakitambulishwa baada ya kupima uzito jana. Mabondia hao leo watapanda ulingoni kuwania mkanda wa ubingwa Dunia wa WBF.


Bondia Thomasi Mashali (kushoto) akitunishiana misuli na Mada Maugo wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya Mpambano wao wa ubingwa wa WBF Africa, utakaofanyika leo katika ukumbi wa Diamondi Jubilee Dar es salaam kabla ya pambano la kimataifa kati ya Cheka na Phill.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment