Image
Image

PINDA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA TPSF


 Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu na Mkutano wa Mwaka wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua Mkutano wao wa mwaka na Mkutano Mkuu kwenye hgoteli ya Serena jijini Dar es salaam.  

Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu na Mkutano wa Mwaka wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifugua  Mkutano  Mkuu  na Mkutano wa mwaka wa Tanzania Private  sector Foundation (TPSF) kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Agosti 16,2013. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu na katikati na Mkurugenzi Mkuu wa TPSF, Gosfrey Simbeye
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na washiriki wa Mkutano wa mwaka na Mkutano Mkuu wa TPSF baada ya kuugungua  kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment