Image
Image

BADO KENYA NI UTATA MTUPU.




Taarifa za shirika la Msalaba Mwekundu zimeeleza kuwa idadi ya watu waliouawa katika mkasa huo imefika 69. 
Mapema leo imeripotiwa kuwa milio ya risasi na miripuko katika jengo hilo. Je, kutokana na tukio hili Kenya ijiondoe Somalia.

Milio ya risasi na mabomu imesikika hii leo kutoka kwenye kituo cha Biashara cha Westgate katika eneo la Westlands,mjini Nairobi nchini Kenya,ambako wanamgambo wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab wanawashikilia mateka watu kadhaa kwa siku ya tatu,huku wakitishia kuwaua.
jengo la duka kubwa, huku vikosi vya usalama vikilizingira jengo hilo.
Taarifa za shirika la Msalaba Mwekundu zimeeleza kuwa idadi ya watu waliouawa katika mkasa huo imefika 69.

Mapema leo imeripotiwa milio ya risasi na miripuko katika jengo hilo. Je, kutokana na tukio hili Kenya ijiondoe Somalia?

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment