Image
Image

AJALI MBAYA YAELEZWA KUTOKEA HUKO ENEO LA MIGELA MJINI BUKOBA, BAADHI YA WATU WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA.


Ajali mbaya imetokea muda mfupi kidogo uliopita Mjini Bukoba katika eneo la Migela na kupelekea lori lililokuwa limebeba Shehena ya Unga kupinduka na kupelekea kuhisiwa watu kupoteza maisha kutokana na zoezi la uokoaji kuwa ni la kusuasua.Picha kwa hisani ya Mc Baraka Galiatano
.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment