Image
Image

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZIKIWA ZINAONYESHA NAMNA WANAFUNZI HAO WALIVYOKUWA WAKIGAIWA TAA ZA NISHATI YA JUA DIHIMBA MTWARA.


Mkurugenzi wa Mauzo wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton Bw. Florenso Kirambata akitoa mafunzo ya matumizi ya taa hizo kwa wanafunzi wa shule ya msingi Dihimba mkoani Mtwara.



 Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (Tamisemi) Mh. Hawa Ghasia akimkabidhi taa ya Umeme Jua mmoja wa wanafunzi wa shule ya msingi Dihimba.




  Mkurugenzi wa Mauzo wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton Bw. Florenso Kirambata akimkabidhi Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (Tamisemi) Mh. Hawa Ghasia (katikati) aina ya taa zinazitumia Nishati ya Jua huku mtoto wa shule msingi Dihimba akishiriki kupokea taa hiyo.




Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment