Image
Image

MAKAMU WA RAIS DKT BILALA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 21WA VYOMBO VYA HABARI NA UTANGAZAJI KWA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA (SABA)

Baadhi ya washiriki wa mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal, alipokua akifungua mkutano huo leo Oktoba 21 2013 katika ukumbi wa A I C C jijini Arusha.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na wasanii wa ngoma ya kimasai waliokua wakitumbiza  nje ya ukumbi wa mikutano wa A I C C jijini Arusha, baada ya kufungua  mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) leo 21 Oktoba 2013.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi mkuu wa TCRA Profesa John Mkoma nje ya ukumbi wa mikutano wa A I C C jijini Arusha, baada ya kufungua  mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) leo 21 Oktoba 2013. 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa  mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) baada ya kufungua mkutano huo leo 21 Oktoba 2013 katika ukumbi wa A I C C Arusha.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano mkuu wa 21 wa Vyombo vya Habari na Utangazaji kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SABA) katika ukumbi wa A I C C jijini Arusha leo 21 Oktoba 2013.



Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment