Image
Image

NSS YASHIRIKI KWENYE MAONESHO YA MKOA MPYA WA NJOMBE

Muajiri Mkubwa wa NSSF Njombe ambae ni  Mhandisi wa kampuni ya Tanwat Njombe UmeshRadd akisaini kitabu cha wageni kabla ya kupokea maelezo kuhusiana na uanachamawa hiari na sekta binafsi kutoka  kwaMeneja wa Shirika la Hifadhi ya Jamii NSSF mkoa wa Njombe, Godwin Mwakalukwabaada ya kutembelea banda la shirika hilo kwenye maonesho ya uzinduzi wa mkoakatika uwanja wa. 


Mkuu wa Mkoa wa Njombe Kapteni Mstaafu Aseri Msangi(kushoto) akipokea maelezo kuhusiana na uanachama wa hiari na sekta binafsikutoka  kwa Meneja wa Shirika la Hifadhiya Jamii NSSF mkoa wa Njombe,Godwin Mwakalukwa (katika) baada ya kutembeleabanda la shirika hilo kwenye maonesho ya uzinduzi wa mkoa katika uwanja waSabaSaba kulia ni Ofisa Uhusiano wa shirika hilo Maife Kapinga. 


Muuguzi wa Hospitali ya Tanwat, Asnath Mdakuleakitoa huduma ya upimaji wa afya ya magonjwa ya shinikizo la damu ‘BP’ nauwiano kati ya urefu na uzito kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda laShirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakati maonesho ya uzinduzi wamkoa mpya wa Njombe, ikiwa ni moja ya huduma zinazotolewa na shirika hilokatika mafao ya Matibabu. (Picha na Shaban Lupimo)





Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment