Image
Image

Benki ya Posta Tanzania ( TPB ) yakutana na wajasiriamali mkoani mbeya nakutoa semina Nzitoo.


Baadhi ya wajasiriamali wakiwa katika semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya.


Baadhi ya wajasiriamali wakiwa katika semina hiyo iliyofanyikakwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya.


Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Profesa Norman Sigallah (aliyesimama) akizungumza akifungua semina kwa ajasiriamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment