Image
Image

Chikawe awaapisha wajumbe wa sekretarieti ya tume ya jeshi la polisi na magereza jijini dar leo



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimuapisha Afisa wa Jeshi la Magereza, Elmas Linus Mgimwa kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Jeshi la Polisi na Magereza inayoshughulikia masuala ya Utumishi na Utendaji waaskari wa majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar esSalaam leo. Kulia kwa Waziri Chikawe ni Naibu Waziri wa Mambo yaNdani ya Nchi, Pereira Ame Silima, na katikati ni Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mathias Chikawe (kulia) akimpa hati ya kiapo Afisa Utumishi wa wizarahiyo, Ernest Maalugu kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Jeshi laPolisi na Magereza inayoshughulikia masuala ya Utumishi na Utendajiwa askari wa majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar esSalaam leo. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, PereiraAme Silima, na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak
Abdulwakil.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mathias Chikawe (kulia-meza kuu) akiongoza kikao cha Tume ya Jeshi laPolisi na Magereza inayoshughulikia masuala ya kiutumishi nakiutendaji wa askari katika Majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto Meza Kuu niNaibu Waziri wa Wizara hiyo, Pereira Ame Silima. Picha zote na FelixMwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment