Image
Image

Jamaica yaidhinisha muswaada wa kuhalalisha uvutaji wa bangi nchini humo



Baraza la Mawaziri la nchini Jamaica limeidhinisha muswada utakaohalalisha matumizi kidogo ya bangi.
Muswada huo pia unatoa fursa ya kutolewa leseni za kulima bangi, mauzo na usambazaji kwa ajili ya kutumika kama dawa na tiba mbalimbali.
Endapo itaidhinisha muswaada huo itakuwa ni mara ya kwanza kwa taifa hilo la Marastafarian, ambalo linatumia mmea huo kama sehemu ya imani yao, sasa kuweza kuvuta bangi bila kuvunja sheria za nchi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment