Image
Image

Uzinduzi wa kuadhimisha Sherehe za miaka 38 ya CCM



Baadhi ya wanaCCM waliohudhuria katika mkutano wa uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimia miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika uwanja wa wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.] 

 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzinzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika uzinduzi wa kuadhimisha sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba leo.[Picha na Ikulu.]

KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Mhe:Abrahman Kinana akisalimiana na viongozi wa CCM, wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chake Chake kisiwani Pemba.


MKE wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe: Mama Asha Suleiman Iddi katika, kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mhe: Pandu Ameir Kificho wakimsikiliza kwa makini Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe:Dk Ali Mohammed Shein alipokuwa akizindua sherehe za Miaka 38 ya Kuzaliwa kwa CCM, huko katika kiwancha cha Gombani yaq kale kisiwani Pemba.



VIJANA wadogo wa Chama cha Mapinduzi wakinyajua juu bango linalomuonyesha muasisi wa CCM Tanzaia, ambaye pia ni Rais wa Kwanza wa Tanzania Marehemu Mwalimu Juliasi Kambarage nyerere, huko katika sherehe za kutimiza miaka 38 kuzaliwa kwa CCM.

 

MAKAMO mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar,Mhe:Dk Ali Mohammed Sheina akisalimiana na viongozi mbali mbali wa CCM wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani ya Kale Pemba, kabla ya kuzindua sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi.

 

MAKAMO mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Mhe:Dk Ali Mohammed Shein, akisalimiana na Mke wa makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mama Asha Suleiman Iddi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Gombani ya Kale kisiwani Pemba.

 

MAKAMO mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Mhe:Dk Ali Mohammed Shein, katikati akiwapigia makofi wananchi kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Tanzaia Mhe; Abrahman Kinana .

NAIBU katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe:Vuai Ali Vuai akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Mhe:Abrahman Kinana wakati wakiwa katika uwanja wa Gombani ya kale kisiwani Pemba.

   MAKAMO mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Mhe:Dk Ali Mohammed Shein, akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Mhe:Abrahman Kinana wakati wakiwa katika uwanja wa Gombani ya kale kisiwani Pemba.

VIJANA Chipkizi wa mikoa miwili ya Pemba, akinyanyaua juu picha ya mwasisi wa TANU, marehemu Mwalimu juliaus Kambarage Nyerere akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Mhe:Abrahman Kinana wakati wakiwa katika uwanja wa Gombani ya kale kisiwani Pemba.

 
VIJANA Chipkizi wa mikao miwili ya Pemba, akinyanyaua juu picha ya mwasisi wa Mpinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 1964, huko katika sherehe za kuzaliwa kwa ccm gombani ya kale kisiwani Pemba VIJANA Chipkizi wa mikao miwili ya Pemba .

 


VIJANA Chipkizi wa mikoa miwili ya Pemba,akinyanyua juu picha ya Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe:Dk Jakaya Mrisho Kikwete huko katika Sherehe za kuzaliwa kwa CCM kutimia miaka 38 kisiwani Pemba.


MJUMBE wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, ambaye pia ni spika wa Baraza la Wawakilishi zanzibar Mhe:Pandu Ameir Kificho, akiwasalimia wanaccm wa Mikoa Miwili ya Pemba, Katika sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM kisiwani Pemba. 

KATIBU mkuu wa CCM Tanzania Mhe:Abrahman kinana akizungumza na wanaCCM wa mikoa miwili ya Pemba katika sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM, huko katika uwanja wa gombani ya kale kisiwani Pemba.

MAKAMO mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Zanzibar Mhe:Dk Ali Mohammed Shein akizungumza na wanachama wa chama cha Mapinduzi wa Mikao miwili ya Pemba, katika hafla ya uzinduzi wa sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM huko katika uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chake Chake Pemba.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment