Image
Image

Salva Kiir augua hafla na kukimbizwa hospitali jijini addis ababa


RaisSalva Kiir wa Sudan Kusini amekimbizwa hospitali katika Jiji la AddisAbaba nchini Ethiopia baada ya kuugua.
Bw.Kiir anasumbuliwa na tatizo la kutokwa damu puani, maafisa wakewamesema, hata hivyo suala la hali yake inavyoendelea halikuelezwa.
Kulazwakwake hospitali kumechelewesha mkutano wa viongozi wa kikandaunaojadili machafuko ya Sudan Kusini.
RaisKiir mwenye umri wa miaka 63, ameliongoza taifa hilo tangu kupatauhuru wake kutoka kwa Sudan mnamo mwaka 2011.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment