Image
Image

Watoto wanne wakazi wa wilaya ya Mbinga wamenusurika kufa baada ya kulipukiwa na vifaa vya kulipulia miamba walivyokuwa wakivichezea.



Watoto wanne wakazi wa wilaya ya M binga wamenusurika   kufa baada ya kulipukiwa na vifaa vya  kulipulia miamba walivyoviokota  jalalalani na kuvi unganisha na  betri  ili wapate mwanga, lakini   badala yake ukatokea mlipuko mkub wa ulioleta taharuki kwa watu  waliodhani ni mlipuko wa bomu.

M lipuko  huo  umejeruhi watoto  hao   wanne  ambao wawili   wanapatiwa matibabu  katika hospitali ya wilaya ya M binga  na  wengine katika hospitali ya mkoa wa R uvuma .

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma Kamishna Msaidizi wa Polisi MIHAYO MSIKHELA  amewataka wananchi  pindi wanapoviona vitu  wanavyovitilia  ma shaka watoe   taarifa katika  ma mlaka husika na kwamba jeshi la  polisi linafanya uchunguzi ku baini waliotupa vifaa hivyo, ili  wachukuliwe hatua za kisheria.

Wakati huo huo Jeshi laPolisi mkoani S ingida limeamua   kuwashikisha  wataalamu wa mabomu  wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ  kuchunguza na kubaini  kitu  kinacho sadikiwa kuwa bomu  ambacho kilimlipukia Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya I ramba HALIMA MPITA .

K amanda wa  Polisi wa  mkoa  wa S ingida  Kamishna Msaidizi wa Polisi  THOBIAS SEDOYEKA amesema tukio  lilitokea jana  baada ya mkurugenzi  huyo  kupewa z awadi ya mwaka mpya kutoka kwa Katibu M u h tasi wake  aliyoipokea  kutoka kwa  aliowaita  wadau wake.

A mesema baada ya kupeleka zawadi hiyo  aliyokabidhiwa Desemba 30 2014,   nyumbani na kuifungua  jana alikuta ujumbe uliosema pole sana  hatuwezi kufan y a dili ya  shilingi milioni tisini  halafu ukala peke yako sisi ukatudhulumu na tukuache  tu.

Amesema  jeshi  hilo halijamkamata  mtu aliye hus ika na tukio hilo na uchunguzi  una endelea kuwabaini walio husika  ili wachukuliwe  hatua za sheria.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment