Image
Image

Mujuri akanusha madai ya kumloga Rais Mugabe

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Zimbabwe Bi. Joyce Mujuri ameleza kuwa amepakaziwa madai ya uongo, kuwa yeye aliwasiliana na waganga wa kienyeji kutoka Nigeria kula njama za kumuua rais Robert Mugabe.
Rais Robert Mugabe alitoa madai hayo dhidi ya Bi. Mujuri wakati wa maadhimisho ya miaka 91 ya kuzaliwa kwake, siku ya jumamosi katika makazi yaliyopo Victoria Falls.
Kiongozi huyo aliwaambia wafuasi wake kuwa Bi. Mujuru ambaye alifukuzwa katika madaraka ya umakamu wa rais mwaka jana, kutoshiriki kumroga Rais Mugabe akiwa utupu na waganga wawili wa Nigeria.
Baada ya kufanya hivyo waganga hao wa Nigeria walimuambia Bi. Mujuri kuwa rais, mkewe pamoja na watuwake wa karibu watakufa ndani ya siku chache.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment