Image
Image

Tanzania yaikabidhi malawi msaada kwa ajili ya wahanga wa mafuriko





Binadamu kwa Serikali ya Malawi ikiwa ni msaada wake kwa wahanga wamafuriko yaliyotokea nchini humo mwezi Januari mwaka huu na kusababisha maafa makubwa.

Msaada huo umekabidhiwa hivi karibuni na Mhe.Patrick Luciano Tsere,Balozi wa Tanzania nchini Malawi kwaniaba ya Serikali ya Tanzania na kupokelewa na KatibuMkuu na Kamishna wa Idara ya Maafa,Bw.Paul ChiunguzenikwaniabayaSerikaliya Malawi.

Aidha,msafarauliopelekamsaadahuokutokaJeshi la Wananchiwa Tanzania (JWTZ), uliongozwana  LuteniKanali B.B.Kisinda.

Katika hotuba yake fupi wakati wa makabidhiano,Balozi Tsere alisema kwamba msaada huo umetolewana Tanzania ikiwa ni agizo kutoka kwa Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania kutokana na kuguswa kwake na maafa hayo makubwa na pia kuitikia wito uliotolewa na Rais wanchi hiyo Mhe.Prof.Arthur Bingu Mutharika kwa Jumuiya ya Kimataifa na watu mbalimbali wenye uwezokutoamsaadakwawahangahaowamafuriko.

Aidha, Balozi Tsere alieleza kwamba,Malawi na Tanzania ni nchi jirani, marafiki na zinazo shirikiana katika masuala mbalimbali ikiwemo majukwaa ya kimataifa kama vile Jumui ya yaMaendeleo ya Nchi za Kusini mwaAfrika (SADC),Umoja wa Afrika(AU) na Umoja wa Mataifa.

“Hivyo,kwa kutambua mahusiano hayo ya ujirani mwema na udugu baina ya nchi hizi na watu wake,Tanzania imeona ni jambo jema kushirikiana na jirani yake katika kupunguza athari za maafa hayokwa wahanga hao kwani siyo vyema kuona jirani yako amepatwa na matatizo na kisha unakaakimya”alisemaBaloziTsere.

Mhe.Tsere aliongeza kwamba ingawam saada huo hautoshelezi kutatua tatizo hilo kabisa bado utaweza kusaidia wahanga hao na kupunguza tatizo lililopo kwa kiasi Fulani.

Malawi ilikumbwa na mafuriko mwezi Januari mwakahuu.

Mafuriko hayo yalisababisha maafamakubwa ikiwemo watukupotezamaisha, nyumba kuharibiwa na mazao mashambani kusombwa na maji.

Kwa hivi sasa familia katika maeneo yaliyo kumbwa na mafuriko hayo hazinamahali pa kuishi na zinahitaji msaada wa chakula na kumekuwa na magonjwa ya mlipuko katika maeneo hayo kama vile kipindupindu.

IMETOLEWA NA: WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, DAR ES SALAAM.

27 MACHI, 2015
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment