Image
Image

Kumbu kumbu ya miaka miwili tangu atutoke Mkali wa Free stylee Albert Mangwea.



Leo ni kumbukumbu ya kifo cha msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva kutoka Tanzania Marehemu Albert Mangwea A.K.A (KAOBAMA) kifo chake kilichotokea tarehe 28/05/2013 huko South Africa.
Kwa hapa tanzania Vituo vya Radio na vimeonyesha uzalendo wa hali ya juu katika kumkumbuka Mkali wa Free Stylee aliyekuwa na kipaji cha pekee kwa kupiga nyimbo zake ambazo ameziacha.
Kupitia moja ya radio walidai kuwa kuna zaidi ya ngoma takribani 50 za ngwea zilizoko studio tofauti tofauti ambazo zikifanyiwa utaratibu zinaweza kutengenezewa Album na kuwa kumbu kumbu nzuri zaidi.
Mitandao ya kijamii mingi ime
pambwa na picha na makala mbali mbali zinazo muhusu marehemu Ngwea na mchango ambao amefanya kwenye sanaa na historia ambayo ni ngumu kusahaulika.
Kututoka kwa marehemu ngwea yapata Miongo(Miaka) miwili hadi hivi sas
Tambarare Halisi na jo[po lake zima Daima tutakukumbuka lala pema panapo stahili Marehemu ngwea.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment