Image
Image

News Alert:Tazama namna hali ilivyo nchini Burundi baada ya Jeshi kupindua Serikali ya Rais wa Nchi hiyo Nkurunziza.


Watu wanaonekana wakining"inia kwenye kwenye gari baada ya kutangazwa mapinduzi ya kumg"oa Nkurunziza Burundi.


Hawa wanao onekana ni Raia nchini Burundi  wakishangilia kupinduliwa kwa rais wa nchi hiyo Piere Nkurunziza.

Raia wakionekana wakishangilia kwa furaha Mjini Bujumbura baada ya kufanyika Mapinduzi kwa Rais wa nchi hiyo Piere Nkurunziza.

Maafisa wa jeshi la nchini  Burundi wanaonekana hapo katika Picha wakiimarisha usalama baada ya Mapinduzi yaliyofanyika Nchini humo.

Raia wa Bujumbura wakishangilia baada ya kutolewa na Generali Niyombareh kwamba wamepindua serikali ya Nkurunziza.

Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari mjini Bujumubura, kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa Burundi.
                 Watu wanaonekana wakininginia kwenye vifaru vya jeshi
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment