Image
Image

Nyota wa zamani wa Ivory Coast, Didier Drogba amesajiliwa na timu ya soka ya Montreal Impact ya Marekani.


Drogba ambaye awali alikataa ada ya dola milioni 7.5 kwa mwaka na akaamua kutimkia China, sasa atakipiga katika ligi kuu ya Marekani, MLS.
Rais wa timu hiyo ya Montreal Impact, Joey Saputo amethibitisha ujio huo wa nyota huyo wa zamani wa Chelsea.
Drogba ataungana na vigogo wengine wa soka kama Frank Lampard, Steven Gerard na Andrea Pirlo katika ligi hiyo kuu ya Marekani.
Mkataba wa Drogba utadumu kwa muda wa miezi 18 katika timu hiyo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment