Image
Image

Dr Amos Adam yupo chini ya uchunguzi na kamati ya maadili ya FIFA .

Aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya Shirikisho la Soka ulimwenguni FIFA kutoka Nigeria Dr Amos Adam yupo chini ya uchunguzi na kamati ya maadili ya FIFA kutokana na taarifa iliyotolewa hapo jana. Adam alivunja sheria za Fifa lakini Fifa haikuweza kutoa taarifa zaidi kuhusiana na taarifa hiyo.
Alikuwa mjumbe wa kamati kuu kwa muda wa miaka minne hadi mwaka 2010 alipozuiwa kushiriki katika maswala yote yanayohusiana na soka kwa muda wa miaka mitatu lifungiwa kutoka na tuhuma za kuombafedha ili kupiga kura za uandaaji wa michuano ya kombe la dunia. Alikuwa kiongozi wa juu katika serikali ya Nigeria kwa miaka 20,na alikuwa akifikiriwa kuwa kati ya watu ambao wangemrithi Issa Hayatou katika shirikisho la soka barani afrika (CAF).
Amepigwa faini ya faranga paundi 6341 za kiingereza,adhabu hiyo imetolewana kamati kuu ya maadili ya Fifa baada ya kupatikana na kosa la kuvunja sheria zinazohusiana na maswala ya rushwa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment