Image
Image

Watanzania wametakiwa kupima Afya zao kila wakati ilikujikinga na magonjwa yanayo tibika.


Kufuatia watanzania kutokuwa na desturi ya kupima Afya zao kanisa la KKKT usharika wa mjimpya Dayosisi ya Morogoro limeendesha zoezi la utoaji huduma ya Afya ya msingi kwa kupima magonjwa mbalimbali kwa waumini wake.
Akizungumza wakati wa zoezi la upimaji wa Afya za waumini wa kanisa hilo mchungaji wa usharika wa mjimpya Paulo Thomas amesema wananchi wengi wamekuwa na shughuli nyingi katika utafutaji maisha hali ambayo imekuwa ikiwafanya kukosa muda wa kwenda kupima Afya zao huku wengine wakikabiliwa na hali duni ya kipato na hivyo kupelekea baadhi yao kubainika na magonjwa yakiwa yamewaathiri kwa kiwango kikubwa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment