Image
Image

Kinacho changia Ongezeko la vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua vya gundulika.

Wajawazito kutofanya mazoezi ya viungo katika kipindi chote cha uja uzito ni moja ya sababu zinazochangia ongezeko la vifo vya mama na mtoto  wakati wa kujifungua.
Akizungumza katika uzinduzi wa kituo maalum cha mazoezi kwa  wajawazito jijini Arusha Katibu Tawala wa wilaya ya Arusha Bwana DANIEL MACHUNDA anasema ipo haja kwa sekta binafsi kuwekeza kwenye vituo hivyo, ili kufikia lengo la taifa la kupunguza vifo visivyo vya lazima.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment