Image
Image

Breaking News:Mapigano ya wakulima na wafugaji yafukuta Mvomero Morogoro.


Inaelezwa kuwa kuna mapigano makali yanayoendelea hivi sasa kati ya wafugaji na wakulima huko Mvomero mkoani Morogoro,hali ambayo imemlazimu waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh. Mwigulu Nchemba kuelekea eneo hilo ili kujua kiini cha tatizo ili kutatua.
Hata hivyo haijafahamika mara moja kwamba chanzo cha mgogoro huo nini haswa licha ya kuwa pande hizo mbili zumekuwa kwa muda mrefu hazielewani na kusababisha maafa haswa kwa kupigana na kukatana mapanga kutokana na kushutumiana kuwa wafugaji huwa wanaruhusu Ng’ombe kuingia kula mazao ya wakulima.
Kwa serikali hii ya Rais.Magufuli ambayo imeanza vyema shughuli ya utumbuaji majipu katika wizara mbalimbali na kuonesha mafanikio makubwa kwa kipindi kifupi,ipo haja sasa jipu hili kutumbuliwa kwa wafugaji na wakulima ili migogoro hii iishe kama si kupungua kabisa.
Tupatapo taarifa kwa kina tutakujuza,Soma Taarifa zetu na Kulike Page Yetu.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment