Image
Image

Davido awaomba bloggers wamuacha Agnes Masogange.

Boss wa lebel ya muziki HKN Nigeria Davido, ameomba waandishi wa habari za udaku na bloggers kuwa makini kwenye kuandika taarifa zao, Hii imekuja siku chache baada ya Davido kutajwa kuwa baba wa mtoto wa  Tanzanian video model Agnes Masogange.
Davido ametumia twitter yake kusema “Sio haki kwa Agnes na mpenzi wake hizi habari kuendelea kusamba kuwa mimi ndio baba wa mtoto wake”

Davido anaendelea kuandika kuwa “Agnes alimpigia simu na kuanza kulia kuhusu taarifa hizi kusamba na kwamba mpenzi wake amekasirishwa nazo “.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment