Image
Image

Picha 27 zikionesha zoezi la upigaji kura ya maoni Rwanda leo.


Wananchi wa Rwanda leo wamejitokeza kupiga kura ya maoni kuidhinisha mabadiliko ya katiba kwa ajili ya kumruhusu rais wa sasa Paul Kagame kugombea tena baada ya mwaka 2017.
Wananchi wengi wamejitokeza mapema leo huku zoezi hilo,likiendelea bila ya kuwepo upinzani mkubwa. 

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment