Image
Image

Tiwa Savage amejipanga kuanza kusambaza album yake mpya “RED” leo December 15.

Tiwa Savage amejipanga kuanza kusambaza album yake mpya “RED” leo December 15 2015. Tiwa Savage amekamilisha kurekodi album hii mpya“RED” siku chache baada ya kumaliza likizo yake ya miezi minne toka amejifungua mtoto wake wa kwanza.
Album inanyimbo 16 na imetayarishwa na Don Jazzy na Baby Fresh huku walioshirikishwa wakiwa ni 2face Idibia, Wizkid na wengine wengi. Tiwa kwa sasa yuko South Africa akifanya video za nyimbo zake.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment