Image
Image

Mama yake Meek Mill alifanya kazi za kinyozi ilikuwapa maisha watoto wake.

Rapa Meek Mill alilelewa na mama yake baada ya kifo cha baba yake akiwa na miaka 5, baba yake Meek Mill aliuwawa ni majabazi waliovamia kwa silaha.
Mama yake Meek Mill alifanya kazi za kinyozi na kazi zingine ilikuwapa maisha watoto wake, kuna wakati aliimba vitu kutoka kwenye super markets na kuja kuviuza nyumbani.
Akiwa mtoto Meek alikuwa na aibu sana na hakuongea sasa,baadae alikutana na rafiki wa Baba yake Dj Grandmaster Nell aliyewahi kufanya kazi na Will Smith na Dj Jazzy Jeff.
Meek Mill amekuwa akishindana kwenye mashindano ya freestyle mitaani, baadae alikuja kuunda kundi la Bloodhoundz  na kufanya nao mixtapes.
Meek Mill alikamatwa akiwa na silaha bila kibali na kupigwa sana na askari, baada ya kujaribu kufuta kesi hio kutokana na kipigo hicho Meek Mill alishindwa kesi hio baada ya askari wawili weusi kutoa ushahidikuwa aliwakimbiza akiwa na silaha na alitaka kuwauwa.
February 2011 RickRoss alitangaza asmi kuwa amemchukua Meek Mill kuwa msanii wake.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment